Kwa mujibu wa shirika la habari la ABNA, CBS News kwa kunukuu maafisa wa Marekani imeripoti kwamba wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa kufuatia shambulio la Iran dhidi ya kambi za Marekani nchini Yordani.
Maafisa wa Marekani wamekiri kujeruhiwa kwa idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo kufuatia shambulio la Iran dhidi ya kambi za Marekani nchini Yordani.
Maoni yako